Kuna jambo ambalo unaweza kusikia watu wakisema hadi kulifanikisha kuna ugumu sana, lakini kwako likaja kuwa rahisi ajabu kiasi kwamba unashangaa nini hiki kimenitendekea.
Ndivyo ilivyokuwa kwangu wakati natafuta kazi ya ndoto zangu ambayo nimeisomea hadi Chuo Kikuu. Jina langu Zurimami, nimesomea taaluma ya Rasilimalia Watu (HR), ilikuwa ndoto yangu kufanya hivyo.
Baada ya kumaliza Chuo tu hivi nilishauriwa na baadhi ya watu kuwa nitafute moja ya Ofisi mjini niombe kazi niwe najitolea bila malipo ili kupata uzoefu maana waajiri wengi hupenda kuajiri wafanyakazi wenye uzoefu.
Nilikubaliana na ushauri wao na kuanza kuitafuta nafasi hiyo, nakumbuka dada yangu, Ney ndiye alipambana kwa kwa kipindi kifupi tu nikawa nimepata ofisi moja ambayo walisema watakuwa wananipa nauli tu kila mwisho wa wiki. Soma zaidi hapa
Post A Comment: