Jina langu ni Charity kutokea Nairobi nchini Kenya, ni miongoni
mwa wanawake waliofanikiwa sana upande wa ujasirimali kwa sasa, kampuni yangu
ndogo tu ya ushonaji nguo imeweza kuzalisha ajira kwa vijana zaidi 20 ambao
hulipwa kila mwezi.
Hata hivyo, hadi kufikia mafanikio hayo haikuwa rahisi,
ilinibidi kufanya kazi sehemu mbalimbali na huko kwenye kazi pia nilikumbana na
changamoto nyingi ambazo kamwe siwezi kuja kuzisahau.
Kusema ukweli wanawake katika kutafuta kazi tunapitia
changamoto nyingi sana, unakuta una sifa zote za kupata kazi ila Bosi anataka
umpatie rushwa ya peni ndipo akupatie kazi yake, vinginevyo kazi hiyo unaweza
kuikosa.
Maishani mwangu kuna kisa kimoja kamwe sitokuja kukisahau,
miaka kama mitatu iliyopita nilifika katika ofisi moja kuomba kazi ya taaluma
ambayo nimeisomea, Bosi akaniambia kazi nimepata ila kuna jambo ambalo napaswa
kufanya.
Jambo hilo ni kufanya naye mapenzi walau mara mbili hivi,
ukweli jambo hilo nilishtuka sana, kama kazi ipo na nina sifa za kuipata
kwanini nitoe rushwa, tena rushwa ya ngono!, huku ni kuuza utu wangu.
Ila ukweli nilikuwa nahitaji sana kazi hiyo maana maisha yangu
kiuchumi hayakuwa mazuri sana, nniliondoka katika ofisi ile nikiwa na maswali
mengi kichwani, akili nyingine ilikuwa inaniambia ni mkubalie tu ili nipate
hiyo kazi, nyingine ikiniambia nikatae.
Akili nyingine iliniambia nijaribu kuomba ushauri kwa marafiki
zangu ambao nina waamini, ndipo nikakutana na rafiki yangu mmoja na kumueleza
jambo hilo, naye alishangaa sana kusikia kitu kama hicho.
Basi, akaniambia hakuna haja ya kufanya ujinga kama huo, kwani
Kiwanga Doctors wanaweza kunisaidia kupata kazi niipendayo, akaniambia hawa
wamewasaidia watu wengi kupata kazi wazipendazo.
Akanipatia namba zao za simu nami nikaanza kuwasiliana nao na
kuwaeleza shida yangu kuwa nahitaji kupata kazi nzuri katika maisha yangu, basi
wakanifanyia tiba zao ambazo kwangu naona ni za uwakika kufuatia kile
kilichokuja kunitokea.
Haikupita muda mrefu, niliweza kupata kazi sehemu nyingine
ambayo ni nzuri kuliko ile ya awali, huku hata kiwango cha mshahara kilikuwa ni
kikubwa sana ukilinganisha na sehemu ile ya mwanzo. Kazi hii ndio ilinipa mtaji
wa kufungua biashara hii ya kushona nguo na sasa nimefanikiwa sana.
Kitu pekee ambacho naweza kuwashauri wanawake wenzangu hasa
mabinti, ni kutokubali kutoa rushwa ya ngono ili kupata kazi, unaweza kupata
kazi uipendayo wakati wowote bila kufanya jambo la kukuvunjia utu wako. Mpigie Kiwanga Doctors kwa namba +254
769404965 kwa maelezo zaidi.
L
Post A Comment: