Na Mwandishi Wetu,HANDENI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance Demokratic Change ADC) Doyo Hassani Doyo ameshiriki katika mkutano wa kuchagua viongozi wa tawi la Kibaya wilayani Handeni Mkoani Tanga huku akiwahaidi wananchi chama hicho kitashirikiana nao katika suala la maendeleo

Doyo aliyasema hayo wakati kabla ya kuanza uchaguzi huoi ambao pia amewahaidi wananchi kuwa wao kama chama watatoa Mifuko 100 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari kibaya endapo mchakato huo ukiwa sawa .

Alisema kwamba wataanza kutoa mifuko 40 kwanza kisha wakati ujenzi ukiendelea  watamalizia  mifuko 60  iliyobakia lengo likiwa ni kuhakikisha kua sula la maendeleo linafanyika katika eneo hilo .

Hatua hiyo ya ADC kutoa mifuko hiyo ya Saruji ni baada ya wananchi wa eneo hilo kutoa kero juu ya watoto wao kutembea umbali mrefu kwenda shule ya Mzeri na wakatti wa mvua hishindwa kwenye shule kutokana na uchafu wa barabara 

Kutokana na uwepo wa changamoto hiyo wananchi hao waliomba kujengwe shule ya Sekondari maeneo ya karibu ambapo Katibu huyo kupitia chama chao wakahaidi  kuchangia mifuko 100 ya cement kwaajii ya kusapoti mambo ya kijamii.

Na Mwandishi Wetu,HANDENI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance Demokratic Change ADC) Doyo Hassani Doyo ameshiriki katika mkutano wa kuchagua viongozi wa tawi la Kibaya wilayani Handeni Mkoani Tanga huku akiwahaidi wananchi chama hicho kitashirikiana nao katika suala la maendeleo

Doyo aliyasema hayo wakati kabla ya kuanza uchaguzi huoi ambao pia amewahaidi wananchi kuwa wao kama chama watatoa Mifuko 100 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari kibaya endapo mchakato huo ukiwa sawa .
 
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhishwa na utendaji kazi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) na matumaini yao kuona fedha wanazopatiwa zinafanya kazi iliyokusudiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 20,2024 Jijini Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.
 
-Asema CCM itaongeza kasi kusimamia Serikali kwa weledi, bila kiburi, wala kuwatukana watendaji

-Asisitiza Watanzania wanatambua CCM ndiyo Chama kiongozi, hakuna haja ya kutukana kusimamia Ilani ya Uchaguzi

-Awataka wanasiasa kutambua watapimwa kwa hoja, sio maandamano

Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt.
 
Na Oscar Assenga, TANGA

KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Paul Makonda amewatumia salamu watumishi wa Serikali wazembe mkoani Tanga wasiowajibika kwamba hawatakubali kuwavumilia kwa sababu wao ndio wamekuwa chanzo cha kumchonganisha Rais na
Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: