Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo amehudhuria na kushiriki kikao cha Balozi wa Shina namba 5, Ndugu Mikael Ndayambue Migelelo katika Tawi la Kapalamsenga, Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi.


Ndugu Chongolo pia alitumia nafasi hiyo kusikiliza kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi katika maeneo hayo, kuzitolea maelekezo ya kuzitatua pamoja na kukagua uhai wa Chama Cha Mapinduzi.
Share To:

Post A Comment: