Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akiwa katika kikao kazi na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Alexander Mnyeti kilichofanyika ofisini kwake jijini Dodoma mapema leo Septemba 26, 2023.

Katika kikao hicho pamoja na mambo mengine walijadiliana kuhusu dira na muelekeo wa utekelezaji wa majukumu na shughuli mbalimbali za kila siku za Wizara katika kuwahudumia wananchi na kutimiza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Viongozi wengine walioshiriki katika kikao kazi hicho ni Naibu Katibu Mkuu (Mifugo), Dkt. Daniel Mushi na Naibu Katibu Mkuu (Uvuvi), Bi. Agnes Meena.Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akiwa katika kikao kazi na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Alexander Mnyeti kilichofanyika ofisini kwake jijini Dodoma.

Katika kikao hicho pamoja na mambo mengine walijadiliana kuhusu dira na muelekeo wa utekelezaji wa majukumu na shughuli mbalimbali za kila siku za Wizara katika kuwahudumia wananchi na kutimiza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Viongozi wengine walioshiriki katika kikao kazi hicho ni Naibu Katibu Mkuu (Mifugo), Dkt. Daniel Mushi na Naibu Katibu Mkuu (Uvuvi), Bi. Agnes Meena.
Share To:

Post A Comment: