Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa ameeleza ukuaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa ndani ya muda mfupi.


"Ukiiangalia BMH sasa unaweza kufikiri ilianza kama ilivyo niwaambie leo haikuwa hivyo kwani tuliazima mpaka wagonjwa ili kufanya uzinduzi wa Hospitali, najivunia kwa kuwa nami ni Daktari Bingwa wa upasuaji na ukuaji wa Hospitali umekuwa mikononi mwangu."


Kwaupande wake Rais wa chama cha Madaktari Bingwa wa Upasuaji Dkt. Larry Akoko ameeleza


"Nakupongeza Dkt. Chandika kwa wasilisho zuri na kazi kubwa inayo acha alama katika Hospitali ya Benjamin Mkapa sote ni mashaidi mwananchi wa kanda ya kati akiamua kwenda Dar kufwata matibabu ametaka mwenyewe maana BMH inajibu maswali yote ya matibabu" alisema Dkt. Akoko

Share To:

OKULY BLOG

Post A Comment: