Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo tarehe 22, Mei 2023.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Daniel Chongolo akizungumza jambo katika  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo tarehe 22, Mei 2023,Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan


 

Share To:

Post A Comment: