Maduka ya wafanyabiashara mbalimbali kwenye milango ya chama Cha mapinduzi CCM Wilaya ya Njombe yanateketea kwa Moto muda huu na kuunguza Mali zilizokuwa ndani.

Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Njombe linaendelea na uokozi wa Mali ambapo takribani milango 7 ya biashara inaendelea kuwaka Moto.

Katibu Tawala wilaya ya Njombe Emmanuel George amesema hakuna madhara ya binadamu yaliyotokea mpaka Sasa zaidi ya Mali za wafanyabiashara na kwamba jitihada mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa.
Share To:

Post A Comment: