Naibu Waziri wa Ardhi ambae pia ni mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, ameshiriki uzinduzi wa Mfuko wa Faida unaosimamiwa na Shirika la Nyumba la Watumishi. 

Mfuko huu ambao unaendeshwa kwa michango ya Hisa za wananchi, ni moja kati ya njia nzuri kuhakikishia Makazi mazuri kwa Watumishi wetu na faida kwa Wawekezaji Wa Mradi

Share To:

Post A Comment: