Siku chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kutoa taarifa moto uliokuwa umewaka Mlima Kilimanjaro umedhibitiwa, moto huo umelipuka tena katika maeneo ambayo awali yalidhibitiwa kutokana na upepo mkali.

Aidha amesema mpaka kufikia saa 10 jioni kumekuwa na mafanikio makubwa katika kukabiliana na moto huo kama hali ya hewa haitabadilika, wataweza kuukabili.

Share To:

Post A Comment: