Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Stephen Kagaigai, Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, Naibu Waziri wa Afya Mhe. Godwin Mollel pamoja viongozi  mbalimbali wa Mkoa wa Wizara na mkoa Kilimanjaro wakati alipowasili Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akizindua mnara maalum unaoonesha kuanza kwa hospitali hiyo na huduma zinazotolewa wakati alipofika  Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro leo tarehe 16 Julai 2022. Kulia ni Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akipanda mti katika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto wakati alipofika kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na  viongozi mbalimbali wa Afya na Mkoa wa Kilimanjaro katika gari maalumu ambalo ni maabara ya magonjwa ambukizi lililopo katika  Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akifungua Maabara ya Afya ya Jamii Ngazi ya 3 ya Hospitali ya Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro leo tarehe  16 Julai 2022. Kulia ni Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akikata utepe kuashiria ufunguzi wa  Maabara ya Afya ya Jamii Ngazi ya 3 ya Hospitali ya Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro leo tarehe  16 Julai 2022. Kushoto ni mke wa Makamu wa Rais Mama Mboni Mpaye Mpango na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Stephen Kagaigai.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu wakati alipotembelea  Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali ya Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuifungua

  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akizungumza na viongozi, watumishi wa Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto pamoja na wananchi mbalimbali wakati wa Ufunguzi wa Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo ilipo Siha mkoani Kilimanjaro

Share To:

Post A Comment: