Na Mwandishi Wetu.

 Kampuni ya Tigo Tanzania , katika kuendeleza kampeni ya Tigo Green For Kili , Leo April 1, 2022 kwa kushirikiana  na Wananchi  wa Mkoa wa Kilimanjaro imefanya zoezi la kupanda miti katika eneo la Sadala ( Moshi ) na kutoa wito kwa Wananchi kuhakikisha mwezi huu wanapanda miti ya kutosha ili kulinda na kutunza Mazingira.


Share To:

Adery Masta

Post A Comment: