Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca(Mb)ameshiriki uzinduzi wa mradi wa maji Chalinze-Mboga uliogharimu shilingi Billion 19 mradi uliozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.


Katika hotuba yake Rais Samia amewataka wananchi wa Chalinze kuilinda miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ili iwe na manufaa kwa jamii.


Awali Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema Wizara imepokea fedha nyingi kutoka serikalini hivyo kama watendaji hawatamwangusha.


Share To:

Post A Comment: