

*****************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Kampuni ya Uzalishaji wa Vifaa mbalimbali vya Umeme ya Kilimanjaro Cables ‘AFRICAB’ imefanikiwa kupatiwa cheti leseni ya ubora kutoka Shirika la Viwango tanzania (TBS).
Kampuni hiyo ambayo inatambulika na Serikali kwa kuzalisha bidhaa zilizobora imekuwa ikiendelea kufanya vizuri na kuwa miongoni mwa makampuni ambayo yanazalisha nyaya zilizo kiddhi viwango vinavyotakiwa.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika hafla ya makabidhiano ya vyeti na leseni kwa makampuni yanayofanya vizuri katika uzalishaji,
Post A Comment: