Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Doroth Gwajima akikabidhi kombe la ushindi kwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mhe. Erasto Mpete na Mkurugenzi wa Halmashauri Kuruthum Sadick mara baada ya Halmashauri kushika nafasi ya kwanza kwa upande wa Halmashauri za Miji Tanzania. Katika hafla hiyo iliyofanyika Jijini Dodoma Halmashauri pia imepata zawadi ya Shilingi milioni 20.

Share To:

Post A Comment: