Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Innocent Bashungwa akifungua Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo. Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Abubakary Kunenge akipiga ngoma katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul akipiga ngoma katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo. Wacheza ngoma wahindi wakitoa burudani katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo. Msanii wa Kizazi kipya Ruby akitumbuiza katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.

Msanii wa Kizazi kipya Beka Flaver akitumbuiza katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.

Msanii wa Kizazi kipya Saraphina Michael akitumbuiza katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.

Msanii wa Taarabu Isha Mashauzi akitumbuiza katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.

Waruka sarakasi kutoka TaSuwakionesha ujuzi wao katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akionesha manjonjo kwa kucheza muziki katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe.Zainab Abdallah akionesha manjonjo kwa kucheza muziki katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.

Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)
Share To:

emmanuel mbatilo

Post A Comment: