Na Angela Msimbira Kibiti


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa a Serikali za Mitaa Mhe Ummy Mwalimu ameridhishwa na Ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.


Akikagua miradi ya Maendeleo inayotekelezwa,  na Halmashauri  ya Wilaya ya Kibiti leo Waziri Ummy ametoa siku 30 kukamilisha ujenzi uliobak na watumishi wa Halmashauri hiyo kuhama katika Ofisi hizo


Waziri Ummy ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kuhakikisha inatenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za wakuu wa Idara


Aidha Ujenzi wa Jengo la Utawala lhadi kukamilika  unakadidiwa kugharimu kiasi cha shilingi  bilioni 5.6 na mpaka Sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 98

Share To:

Post A Comment: