RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar(ZSTC) Dkt.Said Seif Mzee akitowa
maelezo,wakati wa ziara yake kutembelea Ghala la kuhifadhia Karafuu katika
Bandari ya Wete Pemba, zikisubiri kusafirishwa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban.(Picha na Ikulu)
Home
Unlabelled
RAIS WA ZANZIBAR DKT.MWINYI ATEMBELEA GHALA LA KUHIFADHIA KARAFUU BANDARI YA WETE PEMBA.
Post A Comment: