Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake wa uwakilishi nchini, Mhe. Ally Abdallah Almahruqi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) akizungumza na Balozi wa Oman nchini, Mhe. Ally Abdallah Almahruqi katika hafla ya kumuaga mara baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini. Hafla ya kumuaga imefanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake wa uwakilishi nchini, Mhe. Ally Abdallah Almahruqi akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Share To:

Post A Comment: