Na Mwandishi wetu


NlAIBU Waziri wa Maji Mhandisi ,Maryprisca Mahundi(Mb)atembelea ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia kwa lengo la kujitambulisha na kufahamu maendeleo ya Ubalozi wetu baada ya kuwasili nchini humo.


Pichani kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mh Elizabeth Rwitunga na kushoto ni Mwasiti Rashid  Water Resouurces Officer(Modeler & GIS).Mkutano huo ni wa 24 was baraza la mawaziri wa maji wa nchi za bonde la mto Nile ukanda wa maziwa makuu.


Mwisho.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: