Mkurugenzi wa Huduma za Sheria, Marlin Komba (wapili kushoto) na baadhi ya Watumishi wa Mambo ya Ndani ya Nchi walioshiriki kwenye Bonaza ya Michezo leo, Tarehe 12 Juni, 2021 katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma wenye lengo la kuendeleza mshikamano wa kujenga Afya za Watumishi.

 Baadhi ya  Watumisi Wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiangalia Mechi ya Mpira kati ya Watumishi wa Umma na Wafanyakazi wa Benki ya CRDB kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma leo, katika Bonaza ya Michezo yenye lengo la kuendeleza mshikamano wa kujenga Afya za Watumishi.
Share To:

Post A Comment: