Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge katika futari aliyowaandalia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (kushoto)  na Mwenyekiti wa Bunge, Najma Murtaza Giga  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Baadhi ya wabunge  wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa  pili kushoto), Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir  Ali Maulid (kulia) na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto), katika futari  ambayo Waziri Mkuu aliwaandalia wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Share To:

Post A Comment: