![]() |
Pichani ni Eneo la Muda la wagonjwa wa Covid 19 kwenye hospital ya Mkoa ya Mount Meru kama lilivyokutwa na kamera ya Matukio jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |
![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na wadau wakati alipotembelea Ukarabati wa Jengo la Magonjwa ya Milipuko kwenye Hospital ya Mkoa ya Mount Meru picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |
![]() |
Fundi akiendelea na ukarabati wa Jengo la isolation kwenye Hospital ya mkoa wa Arusha Mount Meru kama walaivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha |
![]() |
Viongozi wa kamati ya Ulinzi na usalama wakifuatilia kuona Ukarabati wa Jengo la isolation kwenye Hospital ya mkoa ya Mount Meru jijini Arusha mwishoni mwa wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha |
![]() |
Wadau mbali mbali wakiwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati wakikagua maendeleo ya ukarabati wa Jengo la isolation kwa ajili ya Magonjwa ya milipuko ikiwemo Ugonjwa wa Covid 19 |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akikagua eneo la muda kwa ajili ya wagonjwa wa Covid 19 kwenye hospital ya mkoa ya Mount Meru mwishoni mwa wiki jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha |
![]() |
Sehemu ya eneo la Wadi kwa ajili ya wagonjwa wa Covid 19 |
![]() |
Gambo akipitia eneo la Wadi za muda za wagonjwa wa Covid 19 kwenye hospital ya mkoa ya Mount Meru jijini Arusha mwishoni mwa wiki. |
![]() |
Muonekano wa ndani wa eneo hilo |
![]() |
Choo kwa ajili ya watu wenye Ulemavu |
![]() |
Sehemu ya vitanda kwenye wodi ya insolation |
![]() |
Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Arusha wakibadilishana mawili matatu Mara baada ya kukagua Ujenzi wa wodi ya muda ya magonjwa ya milipuko ikiwemo Covid 19 |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo Mara baada ya kumaliza kutembelea na kukagua wodi ya muda yq Magonjwa ya milipuko mwishoni mwa wikipichq zote na Ahmed Mahmoud Arusha. |
Post A Comment: