Ajali hiyo imetokea katika mto Tshuapa Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ajali hiyo imetokea Monkoto kuelekea Mbandaka eneo ambalo kunapatikana janga la virusi vya Ebola tangu May 8.
Watu 50 wameripotiwa kufariki katika jali hiyo. Taarifa kuhusu ajali hiyo imetolewa na Naibu gavana wa Tshuapa Richard Mboyo Iluka.
Post A Comment: