Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe amefunguka kwa kusema kwamba hali ya uchumi nchini Tanzania ambayo inadaiwa kuimarika na serikali, hauwezi kuwanufaisha watanzania wa chini. Akiongea katika kipindi cha 360 cha Clouds TV, Bashe amedai serikali inatakiwa kuwekeza zaidi kwenye uzalishaji na kuwaacha wananchi waweze kuuza bidhazao nje ya nchi

Share To:

msumbanews

Post A Comment: