Mechi ya Tatu mfululizo Ya ligi  kuu Tanzania Bara baina ya Yanga na Azam inaisha kwa Sare....
 Lakini Azam wanazidi kufanya Vibaya, Mechi Tano wanapata Alama mbili.
 Matokeo Haya ni faida kubwa kwa Simba......
 FT: Azam FC 0 - 0 Yanga
 FT: Mtibwa  0-0 Prisons
 FT: Toto   1-2 Majimaji
 FT: Shooting 1-0 Mbeya city
 
 
Post A Comment: