TUNAOMBA KURA YAKO

Mbunge Neema Lugangira amechaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanasiasa Mwanamke Bora katika Matumizi ya Mitandao/Kidijitali (Digital Politician of the Year - Female)

>Kwa unyenyekevu Mkubwa, tunaomba Kura zenuπŸ™πŸ»

>Tunawaomba tumpigie kura Mhe. Neema Lugangira kwa kufuata maelekezo haya chini πŸ‘‡

1. Tembelea πŸ‘‡


2. Bofya 'Vote Now'

3. Bofya kitufe cha 'Cast Your Vote'

4. Ingiza namba yako ya simu au barua pepe

5. Chagua Digital Governance

6. Alafu Chagua kipengele cha Digital Politician of the Year (Female) alafu tafuta jina Neema Lugangira

6. Bonyeza alama ya kujumlisha (+) mara 5 kisha Bonyeza Vote

>TUNAWASHUKURU SANAπŸ™πŸ»

Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment:

Back To Top