Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu kuhusu masuala mbalimbali ya Kimaendeleo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina Akinwumi ambaye alikuwa akizungumza kutokea Makao Makuu ya Benki hiyo Abidjan nchi Ivory Coast leo tarehe 11 Juni, 2021.
Share To:

Post A Comment: