Wednesday, 1 May 2019

Picha: Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU)


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na  Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini leo tarehe 1 Mei, 2019, katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es salaam. Mazungumzo hayo yamejikita katika  kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na EU  hususan katika nyanja za elimu na udhibiti wa biashara haramu ya dawa za kulevya.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: