Tuesday, 24 April 2018

Picha : MAZOEZI YA POLISI MOSHI MJINI YAZUA TAHARUKI

Leo shughuli zimesimama kwa muda katika Mji wa Moshi wakati Vikosi vya Jeshi la Polisi vikipita katika maeneo mbalimbali ya mji huo wakiwa na silaha za moto na kuzua hali ya taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Moshi.

No comments:

Post a Comment