Saturday, 24 March 2018

Nape Nnauye afunguka tukio la kutolewa bastola

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amezungumzia kitendo cha yeye kutishiwa bastola wakati akitaka kuongea na waandishi wa habari katika hotel ya Protea baada ya Rais Magufuli  kumtengua katika Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape Nnauye amekikumbuka kitendo hicho kilichotokea mwaka 2017.

“Mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo Mwemyezi Mungu aliniokoa na mdomo wa bunduki wa wanyama wasiopenda haki! Mungu mkubwa, mbegu ya haki haifi!” -ameandika Nape Nnauye

No comments:

Post a comment