Video ya wimbo mpya wa Radio & Weasel ambao wamemshirikisha Spice Diana ‘Kyuma’ imeachiwa ikiwa ni siku chache zimepita tangu msanii Radio afariki dunia katika Hospitali Kuu ya Kampala. 

Tazama video hiyo hapa chini.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: