Kufanya kazi kwa bidii, uaminifu, na kujituma ni misingi inayotarajiwa kumletea kila mfanyakazi mafanikio na hatua mpya maishani. Hata hivyo, kwangu mimi, juhudi zangu zote za miaka mingi kazini zilikuwa kama kutwanga maji kwenye kinu.

Walioingia kazi juzi walipandishwa vyeo na kuongezewa mishahara, huku mimi nikiachwa kwenye nafasi ile ile ya chini kwa miaka na miaka. Kila nafasi ya upandaji cheo ilipojitokeza, majina yangu yalikatwa au kusahaulika ghafla, licha ya kwamba mimi ndiye niliyekuwa nikifanya kazi kubwa na ngumu zaidi.

​Hali hii iliniletea msongo mkubwa wa mawazo na unyonge wa nafsi. Mshahara wangu mdogo ulishindwa kukidhi mahitaji ya familia, huku nikishuhudia wenzangu wakinunua magari na kujenga nyumba.

Kila nilipojaribu kumfata bosi wangu kuulizia haki yangu, nilikutana na majibu ya mkato, baridi, na dharau. Nilianza kujiona sina bahati, nikipoteza kabisa hamu na morali ya kufanya kazi, huku nikihofia kustaafu nikiwa masikini bila mafanikio yoyote ya kujivunia. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: