Kila mzazi anatamani kuona mtoto wake anafanya vizuri shuleni, anapata alama za juu, na kujenga msingi bora wa maisha yake ya baadaye. 

Hata hivyo, pale mtoto wako anapojitahidi kusoma lakini anashindwa kabisa kuelewa chochote darasani, maisha hugeuka kuwa chanzo cha msongo mkubwa wa mawazo kwa familia.

Kwa zaidi ya miaka miwili, mwanangu wa kiume alikuwa akipitia kipindi kigumu mno kielimu. Kila mtihani uliporudi, alikuwa akishika nafasi ya mwisho kabisa darasani, huku akipata alama za sifuri kwenye kila somo.

​Walimu walianza kunipigia simu kila mara wakidai mtoto hana akili na hawezi kuendelea na masomo. Nilitumia fedha nyingi kumlipia walimu wa ziada (tuition) na kumnunulia vitabu vyote vya gharama kubwa, lakini hakuna kilichobadilika.

Kila alipokaa chini kusoma, alilalamika kupata maumivu makali ya kichwa, Usingizi mzito ulimshika, au akili yake ilipotea kabisa na kutosikia kile mwalimu anachofundisha.

Nilibaki nikilia kwa uchungu, nikiona ndoto na siku zijazo za mwanangu zikitokomea, huku nikipata aibu kubwa mbele ya wazazi wenzangu waliokuwa wakijivunia maendeleo ya watoto pao. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: