Kulea mtoto na kutamani kumwona akikua akiwa na maadili mema, heshima, na mwelekeo mzuri wa maisha ni ndoto ya kila mzazi.
Hata hivyo, pale mtoto wako wa kumzaa anapogeuka kuwa kero ya mtaa, anapojihusisha na wizi, uraibu wa dawa za kulevya, na tabia za kihuni, furaha yote ya uzazi hutoweka na kubaki maumivu makubwa.
Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilipitia mateso mazito kutokana na tabia za mwanangu wa kiume. Alianza kwa kuiba vitu vidogo nyumbani kama pesa na simu, lakini baadae tabia hiyo ilikua na kuanza kuvunja nyumba za majirani na kuiba mali za watu mtaani.
Kila wiki nilikuwa nikipokea wageni wa usiku wakija kulalamika, kutishia kumfikisha polisi, au hata kutaka kumpiga nondo na kumchoma moto kwa hasira.
Nilitumia fedha nyingi kulipa fidia za vitu alivyoiba ili kuokoa maisha yake, nikampeleka kwenye viapo vya dini, na hata kujaribu kumfunga kamba na kumfundisha kwa vipigo, lakini hakuna kilichobadilika.
Kila alipowekwa huru, alirudi kwenye michezo hiyo hiyo kwa kasi zaidi. Nilibaki nikilia kwa aibu na unyonge, mtaa mzima ukitutenga na kuninyoshea vidole kama mzazi niliyefeli malezi, huku kila siku nikiishi kwa hofu ya kupokea taarifa za kifo chake. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: