Kutafuta fedha na kuweka akiba kwa miaka mingi ni kazi inayotaka uvumilivu na jasho kubwa, lakini pale unapokutana na matapeli wakora wanaokupora na kukutapeli kila kitu ndani ya dakika chache, dunia yote huonekana kugeuka giza.
Kwa zaidi ya miaka kumi, nilikuwa nikifanya kazi kwa bidii na kuwekeza fedha zangu kwenye benki kwa ajili ya kununua kiwanja na kujenga nyumba ya familia.
Hata hivyo, nilikutana na kikundi cha matapeli waliojifanya ni wauzaji wa viwanja na madalali waaminifu waliokuwa na nyaraka zote za serikali zilizochorwa vizuri.
Kwa kutumia maneno ya kuaminika na ushawishi mkubwa, walinishawishi kuwahamishia akiba yangu yote ya maisha ili kukamilisha malipo ya eneo hilo.
Lakini siku chache tu baada ya kuwakabidhi fedha hizo, simu zao zote zilianza kupatikana zikiwa zimezimwa, na nilipofuatilia eneo la kiwanja niligundua nilikuwa nimetapeliwa vibaya mno na eneo hilo lilikuwa la mtu mwingine kabisa.
Nilibaki nikiwa nimechanganyikiwa, nikilia kwa uchungu na kupatwa na msongo mkubwa wa mawazo. Nilikwenda polisi na kutoa taarifa, lakini matapeli hao walikuwa wametoweka bila kuacha alama yoyote, wakiniacha nikiwa mfilisi, masikini wa kutupwa, na nikiwa na aibu kubwa mbele ya mke na watoto wangu. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: