Kuanzisha biashara na kuwekeza mtaji wako wote kwa matumaini ya kupata faida ni hatua kubwa ya kuelekea kwenye mafanikio ya kifedha.

Hata hivyo, pale unapotazama siku zikienda bila mteja hata mmoja kuingia dukani, huku kodi ya pango, bili, na madeni vikikuandama, maisha huanza kuwa chungu sana.

Kwa miezi kadhaa, nilikabiliwa na ukame mkubwa wa wateja kwenye duka langu la nguo na vipodozi. Nilikuwa nikiamka asubuhi na mapema, nikifungua duka kwa matumaini, lakini nilishinda nimeketi peke yangu mchana mzima huku maduka ya majirani zangu yakifurika watu kila dakika.

​Hali hii iliniletea msongo mkubwa wa mawazo na unyonge. Nguo na bidhaa zilizopo dukani zilianza kuharibika na kupitwa na wakati, huku mtaji wangu ukiendelea kukatika kwa ajili ya kulipia pango la duka na gharama za usafiri.

Kila nilipojaribu kupunguza bei au kufanya matangazo, hakuna kilichobadilika watu walipita mbele ya duka langu wakitazama ndani na kuondoka bila kuingia.

Nilianza kukata tamaa na kufikiria kufunga duka hilo kwa aibu kubwa, nikiwa nimeingia kwenye madeni mazito na kupoteza akiba yangu yote ya maisha. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: