Kufungua saluni yangu mwenyewe ilikuwa ndoto ya maisha yangu. Nilitumia akiba yangu yote kukodisha fremu nzuri, kununua vioo vya kisasa, viti vya kifahari, na vifaa vyote vya ubora wa juu.
Nilijua kila aina ya mtindo wa nywele na urembo, lakini kuna kitu kimoja sikuwa nimekijua jinsi ya kupata wateja.
Miezi tisa ya mwanzo ilikuwa jehanamu ya kiuchumi. Siku zote zilifanana; nilikaa kwenye kiti kuanzia asubuhi hadi jioni nikitazama mlango, lakini hakuna mtu aliyeingia.
Miezi tisa ya mwanzo ilikuwa jehanamu ya kiuchumi. Siku zote zilifanana; nilikaa kwenye kiti kuanzia asubuhi hadi jioni nikitazama mlango, lakini hakuna mtu aliyeingia.
Kodi ilikuwa inakaribia kuisha, bili za umeme zilinishinda, na nilianza kufikiria kufunga biashara na kurudi kuajiriwa. Nilikosa amani, na kila usiku ulikuwa wa mawazo na machozi. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: