Kifo cha baba yangu kilikuwa pigo kubwa, lakini kilichofuata kilitesa moyo wangu hata zaidi. Siku ya kusomwa kwa wosia, nilipata mshtuko wa maisha yangu. Jina langu halikuwepo kabisa.

Kila kitu kuanzia mashamba, nyumba, hadi akaunti za benki kilikabidhiwa kwa ndugu zangu na mke wake mdogo. Nilifukuzwa kama mtu baki kwenye mali ambazo mimi mwenyewe nilisumbuka kuzitafuta pamoja na baba yangu.

​Ndugu walinitenga na kuniona sifai. Nilijaribu kwenda mahakamani, lakini kesi iligonga ukuta kwa sababu wosia ulikuwa umegongwa muhuri rasmi.

Nilijikuta nikiwa maskini wa kutupwa, ninaishi kwa dhiki, huku wale waliochukua urithi wangu wakicheka na kunisimanga kila siku. Nilijawa na kinyongo, upweke, na sonona kali. SOMA ZAIDI.
Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post A Comment: