Ndoa yetu ilianza kwa furaha na matumaini makubwa. Kama wanandoa wengine, ndoto yetu kuu ilikuwa kupata mtoto wa kutupa tabasamu na kuikamilisha familia yetu. Hata hivyo, miaka mitano ilipita bila mafanikio yoyote.
Kila mwezi ulikuwa wa maumivu, vilio vya chini kwa chini, na maswali yasiyokuwa na majibu kutoka kwa ndugu na marafiki. Tulijaribu kila njia ya hospitali. Tulitumia gharama kubwa kufanya vipimo na kununua dawa mbalimbali, lakini majibu yalibaki yale yale hakuna mabadiliko.
Upendo wetu ulianza kuingia kwenye majaribu makubwa, na matumaini yalianza kutoweka kabisa. Nilikua nikishuhudia wenzangu wakibeba mimba na kujifungua, huku mimi nikibaki na upweke na masikitiko moyoni. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: