Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Ndoa yetu ilianza kwa amani na matumaini makubwa ya kujenga familia yenye furaha. Hata hivyo, miaka ilipozidi kusonga bila kupata mtoto, furaha hiyo ilianza kutoweka taratibu.

Kila mwezi ulivyopita bila majibu ya matumaini, ndivyo simanzi na huzuni zilivyozidi kutanda nyumbani kwetu.
Baada ya miaka minane ya ndoa, tulikuwa tumetembelea hospitali na zahanati mbalimbali, tukafanya vipimo vyote vilivyowezekana, lakini madaktari walizidi kutuambia hakuna tatizo la kibiolojia linaloonekana.
Aibu na maneno ya kejeli kutoka kwa baadhi ya ndugu na majirani yalianza kutuandama. Wengi walimnyooshea mke wangu kidole, na hata wengine walinishauri nimfukuze na kuoa mwanamke mwingine.
Mke wangu alilia kila usiku, na mimi nilijikuta nikiwa sina la kufanya huku nikishuhudia amani na matumaini ya familia yetu yakiporomoka. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: