Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Baba yangu mzazi kabla ya kufariki dunia, aliniachia eneo kubwa la shamba la urithi kama mtoto wake wa pekee wa kiume ili liwe msingi wa maisha yangu na familia yangu.

Hata hivyo, baada tu ya mazishi yake kuisha, wajomba na ndugu wa karibu walianza kuweka mpango wa kuninyang’anya haki hiyo.

Walitengeneza nyaraka za uongo, wakadai kuwa baba hakuwahi kumiliki eneo hilo peke yake, na kunifungulia kesi iliyodumu mahakamani kwa miaka kumi mtawalia.

​Kwa miaka hiyo yote kumi, nilitumia akiba yangu yote kulipa mawakili na gharama za kesi. Kila mara tulipokaribia kufanya maamuzi, kesi iliahirishwa au nyaraka muhimu zilipotea kimiujiza.

Ndugu hao walitumia fedha na ushawishi wao kuninyanyasa, huku mimi nikibaki maskini wa kutupwa na mwenye msongo mkubwa wa mawazo. Nilihisi kutengwa na kudhulumiwa jasho la marehemu baba yangu.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: