Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mwanangu wa kiume alikuwa akiongoza darasani tangu anaanza shule. Alikuwa mtoto mwenye akili nyingi, mwenye bidii, na fahari kubwa ya familia yetu. Hata hivyo, alipoingia kidato cha tatu, mambo yalibadilika ghafla.

Ripoti zake za shule zilianza kuonyesha maksi za chini sana, alipoteza hamu ya kusoma, na walimu wake walianza kulalamika kuwa anakaa darasani akiwa amezubaa na kukosa ushirikiano.

​Nilitumia fedha nyingi kumlipia walimu wa ziada (tuition) na kununua vitabu vya kila aina, lakini hakuna kilichobadilika. Kila mtihani uliporudi, matokeo yalikuwa mabaya zaidi kuliko ya nyuma.

Nilianza kuchanganyikiwa na kuhisi kuwa siku za usoni za mwanangu zinasambaratika mbele ya macho yangu. SOMA ZAIDI.
Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post A Comment: