Saa nane usiku, kelele za maji zikimiminika chini ya godoro zilinifanya nijishtukie tena. Nilikuwa mtu mzima, lakini nilijikuta nimelowa kitandani kwa mara nyingine tena. 

Nililia kimoyomoyo, nikajiuliza ni lini hali hii ya kuaibisha ingeisha. Nikiwa na miaka 35, bado nilikuwa nikikumbwa na tatizo la kujikojolea usingizini hali iliyokuwa imenifanya niishi kwa siri, aibu na fedheha tangu nilipokuwa msichana mdogo.

Nilijaribu kila njia. Nilihudhuria kliniki za kibingwa, nikatumia dawa za gharama kubwa, nilijaribu hata mashine maalum za mazoezi ya nyonga. Madaktari walinitia moyo kuwa inaweza kuisha kwa muda, lakini mwaka ulipita baada ya mwingine, hali haikubadilika.

Nilijiepusha na mahusiano ya karibu, nikaacha safari za usiku, na hata kazi zilizoitaji kulala nje niliziacha all kwa sababu ya haya. Mara moja nikiwa kazini, niliitwa kwenye kikao cha wafanyakazi cha kusafiri nje ya jiji. Kwa kisingizio cha afya, niliomba nisiende.

Lakini macho ya baadhi ya wenzangu yalinielekea kwa mashaka. Nilihisi kama watu walikuwa wakianza kugundua kuwa kuna kitu kisicho cha kawaida kwangu. Ukweli ni kwamba nilikuwa nimechoka kujificha. Nilihitaji mabadiliko. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: