Nilimuoa mke wangu nikiwa na matumaini makubwa ya maisha. Tulianza ndoa yetu tukiwa na mapenzi makubwa na ndoto nyingi.
Wakati huo nilikuwa na duka la vifaa vya ujenzi lililokuwa linaendelea vizuri, na niliamini baada ya miaka michache tungejenga nyumba kubwa na kuwapa watoto wetu maisha mazuri.
Lakini mambo hayakwenda kama nilivyotarajia. Kila biashara niliyoanzisha ilianguka bila sababu ya kueleweka. Niliwahi kufungua duka la jumla, likafungwa baada ya miezi sita. Nikajaribu biashara ya mazao, nikapata hasara kubwa.
Hata nilipoingia kwenye biashara ya usafirishaji, gari langu liliharibika mara kwa mara hadi nikauza kwa hasara. Kilichonishangaza ni kwamba watu waliokuwa wanaanza biashara baada yangu walikuwa wakifanikiwa, lakini mimi nilikuwa narudi nyuma kila mwaka.
Madeni yaliongezeka, amani ikatoweka nyumbani, na mara kwa mara nilijikuta nikigombana na mke wangu. Miaka saba ilipita katika hali hiyo.
Siku moja, mke wangu alisafiri kwenda kumtembelea mama yake. Alisahau begi lake nyumbani. Nilipokuwa nikitafuta kitabu cha watoto ndani ya begi hilo, niliona bahasha ndogo iliyokuwa imefungwa.
Ndani yake kulikuwa na vitu vya ajabu picha yangu ndogo, vipande vya kitambaa nilivyokuwa nimevaa zamani na karatasi zilizoandikwa maneno nisiyoyafahamu. Nilishtuka sana. Mke wangu aliporudi, nilimuuliza kuhusu vitu hivyo.
Alianza kulia na baada ya muda mrefu alikiri ukweli. Aliniambia kwamba miaka mingi iliyopita, kabla hatujaoana, alienda kwa mganga kwa sababu aliogopa nitamuacha. Alipewa vitu hivyo na kuambiwa avihifadhi ili nibaki karibu naye milele.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post A Comment: