Nilikuwa mkulima wa kawaida katika kijiji kimoja mkoani Mara. Maisha yangu yalitegemea kilimo na ufugaji mdogo wa samaki. 

Kwa miaka mingi nilikuwa nikijitahidi, lakini kila nilichokifanya kilionekana kutokwenda sawa. Mashamba yalikuwa yakikauka, biashara ndogo niliyokuwa nayo haikutoa faida, na nilikuwa nimeanza kukata tamaa.

Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu sana. Niliota nimesimama kando ya mto mkubwa uliokuwa karibu na kijiji chetu. 

Maji yake yalikuwa meusi, na ghafla niliona maelfu ya samaki waliokufa wakielea juu ya maji. Nilihisi hofu kubwa katika ndoto hiyo. Kisha nikasikia sauti ikisema, “Kuna jambo kubwa linakaribia kutokea.”

Nilipoamka asubuhi, moyo wangu ulikuwa mzito. Sikuwa na amani kabisa. Saa chache baadaye nilipigiwa simu na kaka yangu aliyekuwa akiishi mjini.

 Aliniambia kuwa mtu mmoja wa familia yetu alikuwa ameugua ghafla na pia kulikuwa na mgogoro mkubwa kuhusu shamba la urithi ambalo lilikuwa limefichwa kwa miaka mingi. Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post A Comment: