Kwa miaka saba ya maisha yangu, maumivu ya mgongo yalikuwa sehemu ya maisha yangu ya kila siku. Kila nilipoamka asubuhi, nilihitaji dakika kadhaa kabla ya kusimama vizuri kutoka kitandani. 

Nilikuwa nikihisi maumivu makali kuanzia sehemu ya chini ya mgongo hadi miguuni. Wakati mwingine nilishindwa hata kuinama kuchukua kitu kilichoanguka chini.

Mwanzoni nilidhani ni uchovu wa kawaida kwa sababu nilikuwa nafanya kazi ya useremala. Lakini kadri miezi ilivyopita, hali ilizidi kuwa mbaya. 

Nilitembelea hospitali kadhaa na kufanyiwa vipimo tofauti. Madaktari walinipa dawa za maumivu na kunishauri nipumzike zaidi, lakini baada ya muda mfupi maumivu yalikuwa yanarudi tena.

Nilitumia pesa nyingi kutafuta matibabu. Wakati mwingine nililala chini kwa sababu sikuweza kupanda kitandani kutokana na maumivu. 

Familia yangu ilianza kuwa na wasiwasi, na biashara yangu ilianza kuyumba kwa sababu sikuweza kufanya kazi kwa muda mrefu kama zamani.

Mke wangu ndiye aliyekuwa akinisaidia kwa karibu kila kitu. Kuna siku nilishindwa hata kumbeba mwanangu mdogo kwa sababu mgongo wangu ulikuwa unauma sana. Nilijikuta nikipoteza matumaini na kuanza kuamini kwamba ningekaa na maumivu hayo maisha yangu yote.

Siku moja nilikutana na rafiki yangu wa zamani ambaye nilikuwa sijamuona kwa miaka kadhaa. Alinishangaa kuniona nikitembea kwa shida.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Share To:

Post A Comment: