Kwa miaka mingi, nilikuwa na ndoto ya kusafiri nje ya nchi. Nilitaka kupata fursa mpya, kuona mazingira tofauti, na kujenga maisha bora kwa ajili yangu na familia yangu. 

Lakini ili kufanikisha ndoto hiyo, nilihitaji kitu kimoja muhimu sana. Visa. Mara ya kwanza nilipoomba visa, nilikuwa na matumaini makubwa.

Nilijaza nyaraka zote nilizoambiwa niwasilishe na nikasubiri majibu kwa hamu kubwa. Lakini majibu yalipokuja, nilikataliwa. Kwa kweli iliniumiza sana. 

Nilijaribu kujifariji kwamba huenda kulikuwa na jambo nililokuwa nimekosea kwenye maombi yangu. Hivyo nilijipanga upya na kujaribu tena baada ya muda.

Mara ya pili nilikuwa na matumaini zaidi.
Nilihakikisha kila kitu kiko sawa na nikawasilisha maombi yangu kwa kujiamini. Lakini kwa mshangao wangu, nilikataliwa tena.

Sikuamini kilichokuwa kimetokea. Baada ya kukataliwa mara mbili, nilianza kupoteza matumaini. Watu wengi waliniambia niache kujaribu kwa sababu huenda haikuwa bahati yangu. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: