Kwa miezi mingi, kijiji chetu kilikuwa kimekumbwa na wizi wa mara kwa mara. Watu walikuwa wanapoteza kuku, mbuzi, na hata mazao yaliyokuwa yamehifadhiwa baada ya mavuno. Kila mtu alikuwa na mashaka, lakini hakuna aliyekuwa anajua mwizi alikuwa nani.
Mimi pia nilikuwa miongoni mwa walioathirika.
Usiku mmoja nilikuta sehemu ya mazao yangu imeibiwa. Nilihuzunika sana kwa sababu nilikuwa nimefanya kazi kwa bidii kuyazalisha.
Mimi pia nilikuwa miongoni mwa walioathirika.
Usiku mmoja nilikuta sehemu ya mazao yangu imeibiwa. Nilihuzunika sana kwa sababu nilikuwa nimefanya kazi kwa bidii kuyazalisha.
Tulijaribu kupanga doria za usiku, lakini mwizi aliendelea kutoweka bila kuonekana. Kadri siku zilivyopita, hasira za wanakijiji ziliongezeka.
Watu wengi walikuwa wakituhumiana bila ushahidi.SOMA ZAIDI.
Watu wengi walikuwa wakituhumiana bila ushahidi.SOMA ZAIDI.
Post A Comment: