Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo kila simu iliyonipigia ilinifanya niwe na wasiwasi. Sababu ilikuwa moja tu madeni. Mwanzoni nilikopa kwa sababu nilihitaji kuendesha biashara yangu.

Nilikuwa na matumaini kwamba mambo yangekaa sawa baada ya muda na ningeweza kulipa kila kitu bila shida. Lakini hali haikuwa rahisi kama nilivyotarajia. Biashara ilianza kuyumba.

Mapato yalipungua huku gharama zikiongezeka. Ili kuendelea kuendesha shughuli zangu, nilijikuta nikikopa tena. Baadaye nikakopa sehemu nyingine ili kufidia deni la awali.

Polepole nilinaswa kwenye mzunguko wa madeni. Kwa kweli ilikuwa hali ngumu sana. Kilichoniumiza zaidi ni presha ya wadai. Kila siku kulikuwa na simu, ujumbe, na ahadi za malipo ambazo sikuweza kutimiza kwa wakati.

Wakati mwingine nilikosa usingizi nikifikiria jinsi ningetoka kwenye hali ile. Nilianza kupoteza matumaini. Kulikuwa na wakati nilihisi kama maisha yangu yalikuwa yamesimama. Kila fedha niliyopata ilikuwa inaishia kulipa sehemu ya deni, na bado madeni yalionekana kutopungua. SOMAZ AIDI.
Share To:

Post A Comment: